MTAKATIFU YOHANE GABRIELI PERBOYRE. 

Alikua padri kutoka ufaransa aliyefanya umisionari nchini China akauawa huko msalabani kwa ajili ya imani yake ya kikristo.

Alizaliwa Januari 6,1802 na kufariki Septemba 11,1840 na ndio sikukuu yake ambayo kanisa inamkumbuka na kumsherehekea.

Alitangazwa Mwenyeheri na Papa Leo XIII tarehe 10 Novemba 1889 halafu Mtakatifu na Papa Yohane Paulo II tarehe 2 Juni 1996.

MT. YOHANE GABRIELI PERBOYRE,

UTUOMBEE.

Post a Comment

Previous Post Next Post