MTAKATIFU EDITH STEIN.
Alizaliwa tarehe 12/10/1891 na kufariki tarehe 9/8/1942.
Edith Stein alikua ni mwanamke mwanafalsafa wa ujerumani mwenye asili ya kiyahudi. Lakini baadae akabatizwa akawa mtawa wa ndani wa shirika la wakarmeli . Jina lake la utawani likiwa ni Teresa Benedikta wa msalaba.
Aliuawa na wafuasi wa unazi katika moja ya makambi ya KZ kule Poland.
Alitangazwa mtakatifu na Papa Yohane Paulo II mnamo mwaka 1998.
MTAKATIFU EDITH STEIN,
UTUOMBEE.
Post a Comment