MT. GAETANO WA THIENE

Alizaliwa Vicenza tarehe 1/10/1480 na kufariki Napoli tarehe 7/8/1547

Alikua padri wa Italia ambaye alichangia sana wakati wa uamisho wa kanisa wakati wa urekebisho wa kikatoliki hasa kwa njia ya aina mpya ya utawa aliyoianzisha kwa jina la wateatini iliyopata kufunga njia kwa mashirika mengine kama la wajesuiti.

Alitangazwa kuwa mwenyeheri na Papa Urban VIII tarehe 8/10/1629 na Papa Clement X akamtangaza Mtakatifu tarehe 12/04/1671.

MT. GAETANO WA THIENE,

UTUOMBEE.

Post a Comment

Previous Post Next Post