SIKUKUU YA MARIA KUPALIZWA MBINGUNI.

Ni sherehe inayoadhimishwa kila mwaka kimataifa ni sikukuu ya amri ingawa katika nchi nyingine si hivyo kutokana na serikali kutokubali tarehe hiyo kama siku ya mapumziko.

Adhimisho hili lilipata nguvu kutokana na dogma iliyotangazwa na Papa Pius XII.

Fundisho hilo la imani Katoliki ni kwamba Bikira Maria, mama wa Yesu, alipomaliza maisha yake duniani alichukuliwa mwili na roho mbinguni, ashiriki mapema utukufu wa mwanae mfufuka, Yesu Kristo kama alivyoshirikiana naye toka mwanzo hadi mwisho wa maisha yake.

Hata baadhi ya Waanglikana na Walutheri wana adhimisho la Bikira Maria siku hiyo.

MAMA BIKIRA MARIA MPALIZWA MBINGUNI,

UTUOMBEE.

Post a Comment

أحدث أقدم