Mkutano wa kumchagua Papa mpya utaanza Mei 7 kulingana na Ofisi ya Habari ya Holy See. Makardinali waliopo mjini Roma walifanya uamuzi huo siku ya Jumatatu katika Mkutano Mkuu wao wa tano. Mkutano huo utafanyika katika Kanisa la Sistine la Vatikani, ambalo linasalia kufungwa kwa wageni wakati wa siku hizo.

Hivyo kama wakristo tuna wajibu wa kushiriki kumuomba Mungu atujalie kupata Baba mtakatifu ambaye ataliongoza kanisa letu katika njia njema impendezayo Mungu.

Makardinali waliopo mjini Roma walifanya uamuzi huo siku ya Jumatatu katika Mkutano Mkuu wao wa tano. Mkutano huo utafanyika katika Kanisa la Sistine la Vatikani, ambalo linasalia kufungwa kwa wageni wakati wa siku hizo.

Hivyo kama wakristo tuna wajibu wa kushiriki kumuomba Mungu atujalie kupata Baba mtakatifu ambaye ataliongoza kanisa letu katika njia njema impendezayo Mungu.

Post a Comment

أحدث أقدم